Baada ya pilika pilika za mahusiano ya wapenzi hao na ugomvi wa kwenye lift kati ya Jay Z na mdogo wake Beyonce Solange kwa kusemekana k...
Baada ya pilika pilika
za mahusiano ya wapenzi hao na ugomvi wa kwenye lift kati ya Jay Z na
mdogo wake Beyonce Solange kwa kusemekana kuwa matatizo hayo yote
yanatokana na Jay Z kuwa ana mahusiano nje ya ndoa. Msanii Beyonce
Knowles Carter inasemekana anatafuta nyumba ya kuhama aishi mwenyewe
bila Mumewe.
Gazeti la XXL mtandaoni limesema kuwa mwanadada Beyonce anatafuta nyumba kichinichini sababu amechoka na hawezi kuendelea kuishi na Jay Z kwa matendo anayomfanyia. Ikiwa bado wanandoa hawa wakiwa kwenye tour ya show yao ijulikanayo kama “On The Run”, vyombo vya habari vya nchini marekani haviachi kuzungumzia ugomvi wa familia hizi huku wanandoa hawa wakionyesha mapenzi tele kwenye stage.