Wakazi wa eneo la Sakina mkoani arusha jana walipatwa na mshtuko mkubwa bada ya kuona chatu akiwa anaingia ndani ya nyuma ya jirani ...
Wakazi
wa eneo la Sakina mkoani arusha jana walipatwa na mshtuko mkubwa bada ya
kuona chatu akiwa anaingia ndani ya nyuma ya jirani yao huku akiwa
amefungwa kitambaa kilichokuwa na maandishi mekundu yasiyoeleweka mkiani
mwake