Sehemu ya wafanyakazi wa Kikosi zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto ulioteketeza kabisa Soko la Ilala Mchikichini Jijini D...

Sehemu
ya wafanyakazi wa Kikosi zimamoto wakiendelea na zoezi la kuzima moto
ulioteketeza kabisa Soko la Ilala Mchikichini Jijini Dar es salaam
leo.Moto huo ulianza majira ya saa sita usiku wa kuamkia leo na
kuteketeza kila kilichokuwepo katika eneo la soko hilo. Chanzo cha
kutokea kwa moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.

KUANGALIA PICHA ZAIDI NA VIDEO YA TUKIO ZIMA JANA USIKU BOFYA HAPA