post-feature-image
HomeHabari

Nigeria yatoa “deal” ili kuachiwa wasichana waliotekwa.

Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, mpango kwa ajili ya kuachiliwa kwa baadhi ya wanafunzi wa kike waliotekwa nyara nchini Niger...

MATUKIO BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO MJINI DODOMA.
MBARONI KWA KUCHEZA WAKIWA UCHI KWA STAILI YA KIGODORO
Matokeo ya Katiba Mpya Haya Hapa, Ukawa Kubalini Matokeo Tujenge Nchi
Kwa mujibu wa shirika la habari la BBC, mpango kwa ajili ya kuachiliwa kwa baadhi ya wanafunzi wa kike waliotekwa nyara nchini Nigeria unakaribia kufikiwa wakati serikali ya Nigeria ikiitisha mpango wa makubaliano.
Baadhi ya wasichana walitarajiwa kuachiwa huru kwa kubadilishana na wafungwa wa Boko Haram.
Kundi la Boko Haram limewateka zaidi ya wasichana 200 waliokuwa shuleni Aprili 14 mwaka huu na kuamsha hisia kali miongoni mwa watu wengi wakiwemo viongozi wakubwa duniani.
Nigeria2
Serikali ya Nigeria iko chini ya shinikizo la kufanya juhudi zaidi kwa ajili ya kukabiliana na kundi la Boko Haram ambalo limewateka wasichana hao.
Maelfu ya watu wamefariki tangu kundi la Boko Haram lilipoanza kampeni ya nguvu dhidi ya serikali ya Nigeria mwaka 2009.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Nigeria yatoa “deal” ili kuachiwa wasichana waliotekwa.
Nigeria yatoa “deal” ili kuachiwa wasichana waliotekwa.
http://i0.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/05/Nigeria.jpg?resize=470%2C263
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/nigeria-yatoa-deal-ili-kuachiwa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/nigeria-yatoa-deal-ili-kuachiwa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago