Matokeo ya Katiba Mpya ndio haya, imepita!, japo Watanzania tulitaka "Katiba Bora", lakini BMK Imetupatia "Bora Katiba!...
Matokeo ya Katiba Mpya ndio haya,
imepita!, japo Watanzania tulitaka "Katiba Bora", lakini BMK Imetupatia
"Bora Katiba!", if you can't get what you want, just take what you get!,
hivyo natoa wito kwa Wana UKAWA, na wale waumini wote wa rasimu ya
Warioba, tukubali matokeo!, tuweke silaha chini na ku surrender rasmi.
CHADEMA sitisheni maandamano na ku concentrate on what is next, ndio
most important kuliko hata hii katiba.
Hata akidi kama isingetimia, ingetimilizwa na kura za Ndio hata kama hazikutosha, zimetosheshwa na zisinge tosheleza kupata "Bora Katiba!".
Zingetoshelezwa!, mchezo mzima umemalizwa kwenye kura za siri na kura za nje ya BMK, na maadam kura za siri, hairuhusiwi kusema nani amepiga nini, deal ni kutangaza kura ya siri moja tuu, ila kila aliyepiga ajue hiyo ndie ile kura yake, kiwisha game, The end justify the means.
Huu ni ushindi mkubwa sana kwa Samweli Sitta, huyu awe ndie rais wetu 2015 ili kukamilisha process ya implementation ya Katiba Mpya.
Pasco.