Archive Pages Design$type=blogging

MLELA: SILI ‘UNGA’, UMRI UMENIBADILISHA

Stori: Gladness Mallya MSANII anayefanya vizuri katika filamu Bongo, Yusuf Mlela ...

Stori: Gladness Mallya
MSANII anayefanya vizuri katika filamu Bongo, Yusuf Mlela ambaye amekuwa akidaiwa kutumia madawa ya kulevya maarufu kama unga, amesema utofauti wa muonekano wake kwa sasa siyo kwa sababu ya uteja, bali inatokana na umri wake kusogea.Msanii wa filamu Bongo, Yusuf Mlela.
“Unajua mtu unavyozidi kukua na muonekano nao unabadilika, lakini itafikia kipindi nitakuwa sawa tu hivyo naomba mashabiki wangu waelewe kwamba mimi siyo teja na sijawahi kutumia ‘unga’ hizo ni habari za kizushi tu,”alisema Mlela.
Hivi karibuni Mlela alitupia picha kwenye mtandao wa Instagram ambapo wadau mbalimbali walionekana kushangazwa na muonekano wake na kumfananisha na mateja.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MLELA: SILI ‘UNGA’, UMRI UMENIBADILISHA
MLELA: SILI ‘UNGA’, UMRI UMENIBADILISHA
http://api.ning.com:80/files/3WL4yNYnOoZdHg4CfMtiNP2CeLpxBxiySRiSZVtalXucCkQsVKFKl1lNFkDX*Bl3u6BQq5GikAcWxrDvqDw4VrOwnWZdS7lG/mlela.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/mlela-sili-unga-umri-umenibadilisha.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/mlela-sili-unga-umri-umenibadilisha.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago