Waigizaji wa filamu nchini, Riyama na Wastara wamesema wasanii wa Tanzania wamekosa sauti moja jambo ambalo li...
Waigizaji wa filamu nchini, Riyama na Wastara wamesema wasanii wa Tanzania wamekosa sauti moja jambo ambalo linachangia kuzorotesha ukuaji wa filamu za Tanzanuia. Wasanii hao waliopo nchini Uingereza kikazi walikuwa wakizungumza na BBC.
“Watu wengi wanasema sisi ni watengenezaji filamu local ,lakini
zakwetu na za Kinaijeria hazina tofauti sana,kikubwa ambacho
kinasababisha kuamua sisi kutengezeza filamu ni Soma Zaidi Hapa