Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa, awapo chumbani na mpenzi wake huwa anasikia raha ...
Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo
amefunguka kuwa, awapo chumbani na mpenzi wake huwa anasikia raha
kutovaa chochote.
Modo ambaye pia anafanya muziki na ujasiriamali, Jokate Mwegelo.
Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi, Jokate alisema haoni aibu
kusema akiwa faragha na mpenzi wake hapendelei kuvaa kitu kwani ni eneo
la kujiachia.“Kwa kweli nikiwa chumbani na mpenzi wangu sipendi kuvaa
kitu kabisa,” alisema Jokate kwa kifupi.