HomeBurudani

AUNTY LULU AVUA NGUO HADHARANI UKWENI

Ovyooo! Msichana wa mjini asiyeishiwa na matukio Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’, kwa mara nyingine amefanya kituko cha aina y...

DK. CHENI: RUSHWA YA NGONO WANAITAKA WENYEWE!
AUNTY LULU AMPA SOMO JOHARI LA MAPENZI
KUNA MADHARA YA KUISHI PAMOJA KABLA YA KUOANA?-2
Ovyooo! Msichana wa mjini asiyeishiwa na matukio Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’, kwa mara nyingine amefanya kituko cha aina yake baada ya kuzua timbwili kisha kusaula nguo zote hadharani bila kujali yupo ukweni.
Aunty Lulu ana uhusiano wa kimapenzi na kijana anayejulikana kwa jina moja la Amani.
Habari zisizokuwa na chembe ya ‘dauti’ zilidai kuwa hivi karibuni, Aunty Lulu na Amani walikuwa wakipata kinywaji kwenye baa moja iliyopo jirani na nyumbani kwa wakwe zake maeneo ya Majohe, Dar ndipo ukaibuka ugomvi kati yao na kusababisha pachimbike.
Chanzo hicho kutoka ndani ya familia ya wakwe zake Aunty Lulu, kilidai kwamba mwanadada huyo alizua timbwili alipokuwa akipigana na Amani.
Ilisemekana kwamba katika hali ya kushangaza, Aunty Lulu alikwenda mbali zaidi alipovua nguo hadharani na kubaki mtupu hivyo kuwalazimu watu wenye busara kumshika na kumsihi avae nguo kisha walimpeleka nyumbani wanakoishi maeneo hayohayo ya jirani na wakwe zake.
“Yaani Aunty Lulu anamng’ang’ania kwa nguvu ndugu yetu Amani wakati familia nzima haimtaki kwa sababu ya tabia zake hizo, hii ni mara ya pili kuvua nguo hadharani.
“Ukweli hata baba mkwe hataki kumsikia, ameshampigia sana kelele mwanaye aachane naye,” kilisema chanzo hicho.
Baada ya kunyetishiwa ishu hiyo, Ijumaa Wikienda liliwasaka wahusika kwa kuanzia na Aunty Lulu ambapo alikiri kwamba ni kweli ugomvi ulitokea lakini hakuvua nguo.
“Ni kweli tuligombana hapo baa lakini sikuvua nguo na kuhusu kila siku kupigana, jamani hayo ndiyo mapenzi. Wanaosema mimi ndiye namng’ang’ania Amani siyo kweli kwani wote tunapendana,” alisema Aunty Lulu.
Kwa upande wake Amani alifunguka: “Habari hizo siyo za kweli kabisa ndugu mwandishi.”
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: AUNTY LULU AVUA NGUO HADHARANI UKWENI
AUNTY LULU AVUA NGUO HADHARANI UKWENI
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/aunty-lulu-avua-nguo-hadharani-ukweni.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/aunty-lulu-avua-nguo-hadharani-ukweni.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago