Rapper Young Dee ameingia mkataba mnono na kampuni ya king’amuzi cha Star Times ili kuwa balozi wa channel ya Qyou. Akizungumza na H...
Rapper Young Dee ameingia mkataba mnono na kampuni ya king’amuzi cha Star Times ili kuwa balozi wa channel ya Qyou.
Akizungumza na Hisia leo, Young Dee amesema kuwa mkataba huo umempa mkwanja mzuri ili aweze kufanya kazi nzuri ya balozi.
“Nimesaini mkataba na Star Times kutumia image yangu na pia kama
ambassador wa QYou channel ya vijana. Kwahiyo tutafanya press
conference kwaajili ya kutangaza rasmi. Channel Itakuwa inaonyesha mambo
ya entertainment kuhusu vijana. Kuhusu kunilipa ni mambo personal ila
jua inanilipa vizuri ndio maana nimekubali kufanya kazi hiyo,” amesema
Young Dee.