post-feature-image
HomeBurudani

DIAMOND AMTUSI X WA ZARI! ANATAFUTA KIKI KUPITIA YEYE

ICON wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa na Zari. ICON wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’,  juzikati aliamua kumtolea uv...

JACK DUSTAN ADAIWA ANA MIMBA YA MWARABU!
MADAHA: NAOTA NAFANYA MAPENZI KILA SIKU
SHILOLE AMCHAPA KOFI MCHUMBA WAKE NUH MZIWANDA
ICON wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ akiwa na Zari.

ICON wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’,  juzikati aliamua kumtolea uvivu, aliyewahi kuwa mpenzi wa mwandani wake wa sasa, Zarinah Hassani ‘Zari’, King lawrenc kwa kumuita mpuuzi anayetafuta kiki kwa vile kila kukicha kazi yake ni kumfuatafuata kwa maneno ya kejeli na kumtusi.


X wa Zari, King lawrence akipozi.

Akipiga stori mbili tatu na gazeti hili hivi karibuni, staa huyo alisema mara nyingi amejitahidi kumpuuza kwa kitendo chake cha kumkejeli katika mitandao ya kijamii, lakini kitu alichogundua ni kwamba mpenzi huyo wa zamani wa Zari anataka yeye amjibu ili aweze kulikuza jina lake, kitu ambacho  ni cha kijinga.



Zarinah Hassani ‘Zari’.

“Nimejitahidi sana kukaa kimya kila anaponitusi huyu jamaa, lakini kumbuka mimi ni binadamu, najaribu kuliangalia jambo hili nagundua kwamba hana chochote cha msingi anachoongea zaidi ya matusi,  anatafuta nimjibu kitu ili apate kiki aweze kutimiza ndoto zake,” alisema Diamond na kuongeza:

“Nashukuru nimegundua hana mada ya kuzungumza katika mitandao zaidi ya mimi na Zari, ningemshauri aendelee na shughuli zake za kila siku, asihangaike na kitu asichokijua, kugombana na mimi ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa, mimi nawaza nifanyeje ili niweze kuitangaza nchi yangu, yeye anawaza afanyeje ili aweze kupandisha jina lake, siwezi kubishana na mpuuzi.”

Mwanaume huyo Mganda, kwa muda mwingi amekuwa akiweka picha zake, Zari na Diamond akisindikiza na maneno ya kejeli na dhihaka dhidi ya mkali huyo wa Bongo Fleva, katika kile kinachoonekana kuwa ni kushikwa na wivu.

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: DIAMOND AMTUSI X WA ZARI! ANATAFUTA KIKI KUPITIA YEYE
DIAMOND AMTUSI X WA ZARI! ANATAFUTA KIKI KUPITIA YEYE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfD2S3mcGi4ShIbSvWw1Ci44mGmJwT8CmfCSwXqTd1_dxkTNg56rBaGOXT7E5Htu1uSgDy_Jun-0gLXACv0H86Jt9_y_XBoYyR9fK38XRfQ7D7MCCiGFkF3Op2hxsybp75k2eL8QLAsyib/s1600/zaridiamond4.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfD2S3mcGi4ShIbSvWw1Ci44mGmJwT8CmfCSwXqTd1_dxkTNg56rBaGOXT7E5Htu1uSgDy_Jun-0gLXACv0H86Jt9_y_XBoYyR9fK38XRfQ7D7MCCiGFkF3Op2hxsybp75k2eL8QLAsyib/s72-c/zaridiamond4.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/diamond-amtusi-x-wa-zari-anatafuta-kiki.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/diamond-amtusi-x-wa-zari-anatafuta-kiki.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago