Kwa mujibu wa Gazeti la Marokocho, mwanamziki na mwigizaji wa filamu hapa Bongo, Zuwena Mohammed “Shilole” alimpiga kofi mchuma wake...
Kwa mujibu wa Gazeti la Marokocho, mwanamziki na mwigizaji wa filamu
hapa Bongo, Zuwena Mohammed “Shilole” alimpiga kofi mchuma wake Nuh
Mziwanda mbele ya umati wa watu. Gazeti la Makolokocho liliripoti kama
ifuatavyo;
Jumamosi iliyopita ndani ya Tamasha la Kiboko yao lililofanyika Leaders Club, ilishuhudiwa live Msanii Shilole akimchezeshea kichapo mchumba wake Nuh Mziwanda kwa madai kuwa Nuh alikua hataki kuondoka nae eneo la tukio, mchekeshaji Steve Nyerere alijitokeza kuamulia ugomvi na kufanikiwa kumtoa
Shilole eneo lile lakini baada ya muda Shilole akarudi na kumdai funguo ya gari Nuh ambaye siku hiyo alionekana kuwa mpole ikabidi mabaunsa waingilie kati na kumtoa kwa nguvu shilole, baadae Nuh alionekana akitoa machozi na Malkia wa Taarabu Khadija Kopa alionekana akim'bembeleza na kumfuta machozi.

Hili swala la wanamke kutembeza kichapo kwa wanaume zao linazidi kukua kwa kasi napendekeza wanaume nao waunde chama chao cha kuwatetea..