Archive Pages Design$type=blogging

Nay wa Mitego Azungumza Haya Kuhusu Kuzaa na Siwema Baada ya Kupitia Mengi

Stori: Gladness Mallya MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amefunguka kuwa japokuwa ana watoto wengine wa n...

Stori: Gladness Mallya MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amefunguka kuwa japokuwa ana watoto wengine wa nje lakini anajivunia kuzaa na mkewe, Siwema kwani walipitia changamoto nyingi kabla ya kupata mtoto.
Akichezesha taya na paparazi wetu, Nay alisema katika maisha ya mapenzi yake na Siwema walivumilia vingi na hivi sasa ana mshukuru Mungu kwani wameweza kufikia hatua nzuri ya kupata mtoto.
“Maisha ya mapenzi yetu yalikuwa na changamoto sana lakini nilisimama kwa sababu nampenda mke wangu Siwema, najivunia kuzaa na Siwema mtoto wa kiume na ninaendelea kumuomba Mungu aendelee kumkuza mwanetu,” alisema Nay wa Mitego.
Wadau mbalimbali wamekuwa wakimpongeza Nay kwenye mitandao ya kijamii kwa kile wanachodai kwamba ana mapenzi ya kweli licha ya changamoto nyingi zilizojitokeza kwa mpenzi wake Siwema za picha kuzagaa mitandaoni kwamba alikuwa mchumba wa mtu.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Nay wa Mitego Azungumza Haya Kuhusu Kuzaa na Siwema Baada ya Kupitia Mengi
Nay wa Mitego Azungumza Haya Kuhusu Kuzaa na Siwema Baada ya Kupitia Mengi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4V8kfVQKM7EUGRC3OzZN_d7OEA2lafZhQpyqn-AAJZXurAql9r-S-mA2ucgu8CY11wWHlzc81gAgq-DANCgCUYDgAhucfT0XdX_5NlKLlfxH3LcgbjdjcAAnFWIOCTy5Lef1CXlCztn0/s400/NEY_2+(1)+(1).PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj4V8kfVQKM7EUGRC3OzZN_d7OEA2lafZhQpyqn-AAJZXurAql9r-S-mA2ucgu8CY11wWHlzc81gAgq-DANCgCUYDgAhucfT0XdX_5NlKLlfxH3LcgbjdjcAAnFWIOCTy5Lef1CXlCztn0/s72-c/NEY_2+(1)+(1).PNG
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/nay-wa-mitego-azungumza-haya-kuhusu.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/nay-wa-mitego-azungumza-haya-kuhusu.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago