Hit maker wa ‘Mdogo Mdogo’ Nasib Abdul aka Diamond Platnumz amesema ingawa watu wanaupenda wimbo wake ‘Kesho’ yeye binafsi hajawai kuu...
Hit maker wa ‘Mdogo Mdogo’ Nasib Abdul aka Diamond Platnumz
amesema ingawa watu wanaupenda wimbo wake ‘Kesho’ yeye binafsi hajawai
kuupenda.
Diamond alikuwa akizungumza kwenye kipindi cha The One Show cha TV1 jana
“Kiukweli kabisa hata nikikaa na watu, Kesho watu wanaipenda nyimbo
lakini mimi sijawahi kuipenda. Wa bishoo bishoo ndo wainaipenda Kesho
lakini mimi sijahi kuipenda Kesho lakini kipindi hicho nilikuwa naifanya
kibiashara,” alisema Diamond.