Habar ya jpl wanablog Samahani nina swali........ Kwa wale mlowahi kuchepuka au saiz umeamk...
Kutoka JFHabar ya jpl wanablog
Samahani nina swali........
Kwa wale mlowahi kuchepuka au saiz umeamkia kwa mchepuko au unamchepuko,bila kujali sababu za kuchepuka maana utapata sababu ya kujitetea.
Pindi unapoelekea kucheat, hivi hisia zako juu ya mpenz wako hua unaziweka wapi?huwa hazikujii akilini?au unajitoa ufahamu?
nawaza hiv toka unaelekea kuchepuka,au mna anza kuchojoa nguo,dhamira haikusuti?hivi nao hua mna wapa mate?hamna kinyaa unachojihisi maana mdomo wa huyu kesho wa njia kuu..khaa
Ktkt ya tendo je,mnafanya bila kupeana maneno matam?kama mnapeana mnamaanisha au yanatokea kooni?
Ukitoka hapo je,ukakutana na mpnz wako au akapga simu.Dhamira inakusuta?(Naongelea hisia za ndan kabsa)
NOTE:sijawahi kucheat wala sitarajii.ni swali tu..kama huna jibu pita kimya.asanteni