post-feature-image
HomeBurudani

CHUCHU HANS AFUNGUKIA KUACHANA NA RAY

Stori: Musa Mateja na Gladness Mallya STAA wa Filamu Bongo, Chuchu Hans juzikati ...

Wasanii walioshiriki tamasha la KIlimanjaro Music Tour 2014 mjini Dodoma wamfariji Msanii mwenzao Afande Sele kwa kufiwa na Mkewe.
Tunda Man aahirisha kufunga ndoa hadi mwakani baada kuuguliwa na mama yake
Roma azungumzia mapokeo ya wimbo wa Maumivu, comments za mashabiki na anavyouchukulia
Stori: Musa Mateja na Gladness Mallya
STAA wa Filamu Bongo, Chuchu Hans juzikati alifungukia madai ya kwamba ameachana na mchumba wake Vicent Kigosi ‘Ray’, akaeleza kuwa, hakuna ukweli wowote juu ya hilo.Chuchu alifikia uamuzi wa kufafanua juu ya madai hayo juzi kufuatia tetesi zilizokuwa zimeenea kwamba yeye na kipenzi chake huyo wametibuana na sasa kila mtu kimpango wake.
Staa wa Filamu Bongo, Chuchu Hans akiwa na mpenzi wake 'Ray''.
Akifungukia juu ya uvumi huo Chuchu alisema: “Kutakuwa na watu wanaosambaza uongo huo, huwezi kuamini muda si mrefu nilikuwa na baby wangu Ray, tukawa tunashangaa tu juu ya umbeya huo.
“Nahisi watu wamechukulia kwamba tumeachana baada ya mimi kuamua kubadilisha jina nililokuwa nikilitumia kwenye akaunti yangu ya kwanza ya Instagram, nimetoa neno The Greatest na kubakiza jina langu, ilikuwa ni uamuzi tu.
“Siwezi kuachana na Ray na hata kama ikitokea tumeachana naamini kabisa Ray hawezi kurudiana na Johari wala Mainda, hao wanaosema eti kaniacha mimi karudiana na Johari wanachemka,” alisema Chuchu
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: CHUCHU HANS AFUNGUKIA KUACHANA NA RAY
CHUCHU HANS AFUNGUKIA KUACHANA NA RAY
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjoPtgHxdvThcmc-UqRpuQ3XcIBEB0w3DwnlRvAu9_8gQteT5LHhSA3Vzrfc55Wx_ZOoHV5PXc698qUntygLrNwfv5HIbGRI3Dk3FGjtVZum47HBrCVys1Lt-W06_ej6MDw52q1ZcFAWmOJ/s1600/RAY.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjoPtgHxdvThcmc-UqRpuQ3XcIBEB0w3DwnlRvAu9_8gQteT5LHhSA3Vzrfc55Wx_ZOoHV5PXc698qUntygLrNwfv5HIbGRI3Dk3FGjtVZum47HBrCVys1Lt-W06_ej6MDw52q1ZcFAWmOJ/s72-c/RAY.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/chuchu-hans-afungukia-kuachana-na-ray.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/chuchu-hans-afungukia-kuachana-na-ray.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago