Archive Pages Design$type=blogging

Roma azungumzia mapokeo ya wimbo wa Maumivu, comments za mashabiki na anavyouchukulia

Collabo ya Roma na Bob Junior iliyozaliwa kutokana na utani wa soka imekuwa moja kati ya m...

Collabo ya Roma na Bob Junior iliyozaliwa kutokana na utani wa soka imekuwa moja kati ya mada zilizozungumziwa jana huku mashabiki wakitoa maoni tofauti kuhusu ngoma yao ya ‘Maumivu’.
Akionge na tovuti ya Times Fm, Roma ameelezea jinsi anavyoichukulia ngoma hiyo ambayo baadhi ya watu walionekana kumpinga kwa kufanya na Bob Junior wanaesema hukata mauno.
“Nairank katika asilimia kubwa sana za juu though ina siku moja tangu itoke kwa sababu officially tumeirelease jana. Na credit yangu naitoa kwa sababu ya comments ambazo nazipata. Katika comments 44 nakuta comments zinaonesha kuwa disappointed lakini zilizobaki zote zinakuwa nzuri. Na hiyo nimeizoea tangu nimeanza muziki wangu. Sijawahi kupokelewa positive tu. Watu wanashangaa hiyo collaboration jinsi ilivyotokea na kusahau kwamba wapo wasanii wengi tu wa nyuma waliwahi kufanya collabo na wasanii wa kuimba, Roma sio mtu wa kwanza.
“Nimeona hata jana katika mtando wa Facebook nikapata comments kama 237 hivi, kati hizo comments ni comments 33 zimepinga lakini zilizobakia zote wanasema muziki mzuri, ngoma kali na tumeielewa. Kwa hiyo unaweza kuona hapo jinsi ambavyo watu wameipokea katika kiwango kizuri.”

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Roma azungumzia mapokeo ya wimbo wa Maumivu, comments za mashabiki na anavyouchukulia
Roma azungumzia mapokeo ya wimbo wa Maumivu, comments za mashabiki na anavyouchukulia
http://www.timesfm.co.tz/content/uploads/2014/8/16/cache/MAUMIVU_full.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/roma-azungumzia-mapokeo-ya-wimbo-wa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/roma-azungumzia-mapokeo-ya-wimbo-wa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago