post-feature-image
HomeBurudani

BONDI, WASTARA PENZI LAO KIZUNGU DAA!

BAADA ya wiki iliyopita msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma kuripotiwa kwenye moja ya magazeti pendwa kuwa hana uhusiano na mtu yey...


BAADA ya wiki iliyopita msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma kuripotiwa kwenye moja ya magazeti pendwa kuwa hana uhusiano na mtu yeyote ndani ya Bongo Muvi na yupo mbioni kumuanika mrithi wa Sajuki mengi yameendelea kuibuka.

Msanii wa filamu Bongo, Wastara Juma akiwa kwenye pozi la kimahaba na Bondi Bin Salim.

Akizungumza mpenzi wa Wastara anayetambulika kwa jina la Bondi Bin Salim alidai kuwa yupo kwenye mchakato wa mwisho wa kutoa mahari kwa ndugu wa msanii huyo kiasi cha shilingi milioni 5 pamoja na pete za dhahabu ili aweze kuwa na Wastara.
Alisema kuwa maamuzi ya kutoa posa yamekuja baada ya kuona kila mmoja anaweza kuishi na mwingine kwani wameshasomana kwa muda mrefu.
“Najua si jambo la watu kuhoji sana kwa sababu ndoa ipo na kila mtu atafanya hivyo, nina hela ya mahari tayari na siku ikipangwa ya kutoa tutafanya hivyo lakini ninachowaza sasa ni kuona nafanya vipi ili harusi yangu iwe ya kipekee na zoezi hili tutalifanya mwakani,” alisema.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: BONDI, WASTARA PENZI LAO KIZUNGU DAA!
BONDI, WASTARA PENZI LAO KIZUNGU DAA!
http://api.ning.com/files/uVSra6c8ZxWY8dTlMDE-TkKsxEmPWkRK4pZEgRQaFdEQHDNObt*e8OnP*ybQgIyqpd3qHr5cXDoZJkgfosK1BKPznWl91PU1/bond.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/bondi-wastara-penzi-lao-kizungu-daa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/12/bondi-wastara-penzi-lao-kizungu-daa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago