post-feature-image
HomeBurudani

WANAWAKE 2 WATAJWA KUVUNJA UCHUMBA WA ROSE NDAUKA

STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka ameanika ukweli kuhusu uhusiano wake na aliyekuwa...

STEVE NYERERE AANGUSHA PATI MWANZA
LULU: NIHURUMIENI JAMANI, Mama yake Ashangazwa na Mambo yanayotokea, ateta na __
KESI YAKE NA RUGE, JIDE AHUKUMIWA
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka ameanika ukweli kuhusu uhusiano wake na aliyekuwa mchumba wake Malick Bandawe baada ya kuwagundua wanawake wawili aliozaa nao mbali na yeye.
Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Rose aliamua kufungasha virago vyake na kurudi kwa mama yake mzazi maeneo ya Kigogo baada ya kugundua kwamba mchumba’ake huyo alizaa na wanawake wawili tofauti na yeye ambaye ni wa tatu.
“Alichokizungumza Malick kwamba alishamuweka chini Rose na kuzungumza naye si kweli, ila yeye Rose aliamua kurudi kwao baada ya kugundua jamaa ana wanawake wawili aliozaa nao kabla yake,” kilisema chanzo hicho.
Akaongeza: “Kile kilichosemwa na  Malick kuwa anasikitika kuona mtoto wake anakwenda kulelewa na mwanaume mwingine ni kujitetea tu lakini ukweli ni kwamba mwanaye analelewa na yeye mwenyewe kwa sababu yuko nyumbani kwa mama yeke.”
Juzi, paparazi wetu alimtafuta Rose kwa njia ya simu yake ya mkononi, alipopatikana na kusomewa madai hayo alikata simu huku akisikika akisema hayuko tayari kufunguka lolote kwa sasa.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: WANAWAKE 2 WATAJWA KUVUNJA UCHUMBA WA ROSE NDAUKA
WANAWAKE 2 WATAJWA KUVUNJA UCHUMBA WA ROSE NDAUKA
http://api.ning.com:80/files/m9h2OjxKkWcQIXGB*1ZnKdaln5uJAuhknC9e8r7NUkIuLew6eyM-Dk66I3Rg-Cfgw37I-V1eebxPTdw3qhiexG3Um8XLh0Ap/rose_ndauka_2012.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/wanawake-2-watajwa-kuvunja-uchumba-wa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/wanawake-2-watajwa-kuvunja-uchumba-wa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago