Ukimya wa muda mrefu na kazi tofauti za kijamii zimemweka mbali na muziki msanii Ray C, ila sasa ametangaza ujio wa wimbo wake mpya....
Ukimya wa muda mrefu na kazi tofauti za
kijamii zimemweka mbali na muziki msanii Ray C, ila sasa ametangaza ujio
wa wimbo wake mpya.