post-feature-image
HomeBurudani

WAPENZI WADONDOKA TOKA GHOROFA YA 6 WAKIFANYA YAO NA KUFARIKI DUNIA!

Binti mrusi wa miaka 19 aliyefahamika kwa jina la Anastasia Tutik na mpenzi wake wa kiume toka Mex i co aliyefahamika kwa jina la M...

NATAKA KUWAKOMESHA WALE WANAODAI KWA MUME WANGU AMEFUNGWA..." AUNT EZEKIEL AFUNGUKA MAZITO...!
HIVI NDIVYO DAVINA ALIVYOPEWA KIPIGO BAADA YA KUKUTWA AKIONGEA KIMAHABA KATIKA SIMU
Enjoy na hizi movie kwa weekend hii ndefu.

Binti mrusi wa miaka 19 aliyefahamika kwa jina la Anastasia Tutik na mpenzi wake wa kiume toka Mexico aliyefahamika kwa jina la Miguel, wamedondoka toka ghorofa ya 6 walipokuwa wakifanya mapenzi katika kibaraza wakisherehekea kumaliza mitihani yao ya mwisho.

Unaambiwa kuwa wapenzi hao walikuwa wakisherehekea  katika  apartment ya bei ghari na hadhi ya kipekee huko Deptford,kusini-mashariki mwa  London, wakiwa pamoja na wanafunzi wenzao kutokachuo cha Bellerbys, shule ya kimataifa inayotoza kiasi cha kuanzia £21,000 kwa mwaka.


Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa walisikia kishindo kikubwa asubuhi na mapema.
Samson Oguntayo, 32, ambaye anaishi karibu na jengo la wahanga, amesema: 

Walikuwa wanajaribu kufanya mapenzi katika kibaraza juu ya ghorofa. Jamaa alimnyanyua mpenzi wake na kumweka juu ya kibaraza na wakaendelea kufanya mapenzi Ungeweza kuwaona hata kwa mbali wakifanya kitendo hicho cha hatari. Mara nyingine walitoka nje na kurudi ndani karibu mara nne lakini walivyotoka mara ya tano hawakurudi ndani, kwani ndio safari waliyodondoka...tuliishia tu kupiga kelele.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: WAPENZI WADONDOKA TOKA GHOROFA YA 6 WAKIFANYA YAO NA KUFARIKI DUNIA!
WAPENZI WADONDOKA TOKA GHOROFA YA 6 WAKIFANYA YAO NA KUFARIKI DUNIA!
http://2.bp.blogspot.com/-yaHE7vlwj70/VBnH-r9bEZI/AAAAAAAAn2w/rXQ1vkK44hY/s1600/lovers%2Bfall%2Bfrom%2B6th%2Bfloor%2B64.JPG
http://2.bp.blogspot.com/-yaHE7vlwj70/VBnH-r9bEZI/AAAAAAAAn2w/rXQ1vkK44hY/s72-c/lovers%2Bfall%2Bfrom%2B6th%2Bfloor%2B64.JPG
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/wapenzi-wadondoka-toka-ghorofa-ya-6.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/wapenzi-wadondoka-toka-ghorofa-ya-6.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago