Archive Pages Design$type=blogging

DIDA, EZDEN WAMEBAKI MARAFIKI

WATANGAZAJI ambao walikuwa wanandoa kabla ya kuachana, Khadija Shaibu ‘Dida’ na Ez...


WATANGAZAJI ambao walikuwa wanandoa kabla ya kuachana, Khadija Shaibu ‘Dida’ na Ezden Jumanne wamemaliza tofauti zao na sasa wamekuwa marafiki sana kiasi cha kuzua minong’ono kwamba wamerudiana.
Watangazaji, Khadija Shaibu ‘Dida’ na Ezden Jumanne wakati wakiwa wanandoa.
Baada ya minong’ono hiyo kuzidi, Risasi Vibes ilimtafuta Dida ili kueleza ukweli ambapo alisema ni kweli amemaliza bifu na Ezden na sasa ni marafiki lakini suala la kurudiana siyo kweli na halipo kabisa kwani tayari yeye ana mtu wake na Ezden pia ana mtu wake.
“Tumemaliza vinyongo tulivyokuwa navyo na sasa tuko kama watu wa kawaida lakini hakuna mapenzi tena na hatuwezi kurudiana. Pia kila mtu ana uhusiano mwingine, sisi ni marafiki tu watu waelewe hivyo,” alisema Dida.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: DIDA, EZDEN WAMEBAKI MARAFIKI
DIDA, EZDEN WAMEBAKI MARAFIKI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhM6qc5bOqNMqYtUxuri3cM8N3r_DeI-VPXwR51_kBvGRDX30nunQqZxAgatRVnCpfvBOiGdJmN1OQP9BcMeUeBxO-lCuf1G7Mu-4dXDSTP3D5Px11FQaN0womMRzyY3fCc8njygQO801vm/s1600/IMG-20131016-WA0096.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhM6qc5bOqNMqYtUxuri3cM8N3r_DeI-VPXwR51_kBvGRDX30nunQqZxAgatRVnCpfvBOiGdJmN1OQP9BcMeUeBxO-lCuf1G7Mu-4dXDSTP3D5Px11FQaN0womMRzyY3fCc8njygQO801vm/s72-c/IMG-20131016-WA0096.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/dida-ezden-wamebaki-marafiki.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/dida-ezden-wamebaki-marafiki.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago