post-feature-image
HomeBurudani

ROSE MUHANDO MGONJWA

TUMUOMBEE! Hali ya kiafya ya staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando siyo nzuri na amewaomba Watanzania wamuombee kwani ni mgon...

JOKATE ACHEKELEA KUMBWAGA LULU
DIDA, EZDEN WAMEBAKI MARAFIKI
SNURA ADAIWA KUMFICHA MWANAYE

TUMUOMBEE! Hali ya kiafya ya staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando siyo nzuri na amewaomba Watanzania wamuombee kwani ni mgonjwa. 
Staa mkubwa wa Injili Bongo, Rose Muhando.
Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalum katikati ya wiki hii, Rose ambaye ameripotiwa kwa misala tofauti ya kuchikichia fedha za shoo hivi karibuni, amefunguka kuwa afya yake si nzuri kwani anasumbuliwa na mshipa kwenye mguu, akafanyiwa upasuaji katika Hospitali ya Mkoa ya Dodoma.
“Siko vizuri kiafya nimefanyiwa upasuaji mguuni, nimeshonywa nyuzi nne lakini bado hali yangu si nzuri kiafya, nawaomba Watanzania waniombee,” alisema Rose kwa tabu na kuongeza:
“Hata ukiniona utanihurumia kwani mbali na upasuaji kwenye kidole gumba pia nimevimba sana uso.
“Kwa sasa nipo kitandani nyumbani kwangu najiuguza. Nitarudi tena hospitalini Jumanne ijayo.”
Akizidi kumwaga maneno kwa kinasa sauti cha Risasi Jumamosi, Rose alimshukuru mwandishi wa Barua Nzito iliyochapishwa katika gazeti tumbo moja na hili la Risasi Mchanganyiko (toleo lililopita) kwa kumuonya juu ya suala la kudaiwa kuingia mitini na fedha tofauti za shoo na kuomba radhi kwa Watanzania.
“Nawaomba sana radhi wote niliowakosea, niwaombe waniombee nipone na nitarejesha fedha zao,” alisema Rose.
Tunamuombea Rose kwa Mwenyezi Mungu ampe afya njema ili aendelee na huduma ya kumtumikia Mungu kwa njia ya nyimbo za Injili-
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: ROSE MUHANDO MGONJWA
ROSE MUHANDO MGONJWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjkyaitgomIMJbVk4IbcZ6Hag_ji5o1GhUVcoXc2OXXZstHEm3B1Vh26dcDm-VZvmBIDW_as0lduZsN22QUoMrJCYlU_p0dgg4y16nTFui8ZEqJpf8CrJUurxgqefWDI4lAQ5aAhZjGBGU/s1600/rose.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjkyaitgomIMJbVk4IbcZ6Hag_ji5o1GhUVcoXc2OXXZstHEm3B1Vh26dcDm-VZvmBIDW_as0lduZsN22QUoMrJCYlU_p0dgg4y16nTFui8ZEqJpf8CrJUurxgqefWDI4lAQ5aAhZjGBGU/s72-c/rose.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/rose-muhando-mgonjwa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/rose-muhando-mgonjwa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago