Leo ni siku ya 20 tangu Big Brother Africa ya Mwaka huu ianze. Naamini kwa wale wanaoifuatilia wanaburud...
Leo
ni siku ya 20 tangu Big Brother Africa ya Mwaka huu ianze.
Naamini kwa wale wanaoifuatilia wanaburudika vya kutosha na
mambo yanayotendeka ndani ya jumba hilo.
Ni
Shindano ambalo halikuanzishwa kwa lengo la kuenzi mila na
desturi za kiafrika, bali lilianzishwa kwa lengo moja tu la
kutoa burudani ya kutosha ambayo mwisho wa siku itawawezesha
waanzilishi kujipatia pesa.
Turudi
kwenye pointi yetu, kama ilivyo kawaida ya siku ya Ijumaa
ndani ya jumba hilo, usiku wa kuamkia leo washiriki walikuwa
wakiparty pamoja kwa kucheza na kunywa.
Baada
ya burudani hiyo iliyosimamiwa vilivyo na Dj Izzy toka
Botswana, dada yetu Laveda ambaye anaiwakilisha Tanzania katika
jumba hilo alitoka na kuelekea kitandani.
Akiwa na mzuka wa kutosha, Laveda alijifunika shuka na kuanza kujichua( kupiga puli) pole pole.
Mtu
wa kwanza kumshuhuda Laveda "akili PULINETI" ni mwana dada Mam
Bea ambaye alistushwa na mnong'ono wa sauti za mahaba .
Ndipo
mrembo huyo alipotoka na kuwajuza wenzake ambao hata hivyo
hawakuonekana kumjali kwani "Pini" lilikuwa bado linaendelea!
Mam
Bea aliendelea kuueneza umbea huo, hali iliyomfanya Idris(
mshiriki wa kiume wa Tanzania) apandwe na hasira akitaka
suala hilo liachwe kujadiliwa.
"Acheni Ujinga bana, mna ajenda gani,? Nini kigeni? Ntapiga mtu mimi!," Alifoka Idris akiwataka washiriki wenzake waliache suala hilo.
Hasira za Idris zilifanikiwa kudhibitiwa na Mr. 265 ambaye alimshika na kumsihi apunguze hasira.
" Yaishe mtu wangu, Hasira za nini kamanda? Achana nao!," alisikika Mr. 265 akimsihi Idris.
Ni
ukweli usiopingika kuwa Idris ni mzalendo wa kweli na
anaipenda Tanzania na ndo maana alipandwa na hasira baada ya
kuona Laveda anazongwa zongwa.
Mangapi yanafanyika mle ndani? Watu wanaoga pamoja, tena uchi wa mnyama?
Eti
leo hii mwenzao kaamua kupiga punyeto kupunguza hamu wanaanza
kumsengenya!!? Hiyo sio haki. Safi sana Idris kwa kumtetea
Mshiriki mwenzako na mtanzania mwenzako.
Laveda
ni mtu mzima, ana hisia kama binadamu wengine. Pamoja na yote,
bado ni mtu ambaye kimaadili anaongoza ndani ya jumba hilo.
Kama huamini, tazama video za washiriki wanapokuwa bafuni uone
ni jinsi gani anaoga.
Leo
ni siku ya 20, nakuhakikishia hutaona video hata moja
ikiyaanika maziwa yake hadharani. Ni mtu ambaye huoga na nguo
tofauti kabisa na washiriki wengine.
Kesho
jumapili, Mshiriki mmoja au wawili watayaaga mashindano hayo.
Laveda ni miongoni mwa watu walioko hatarini kutolewa kesho.
Kura yako inahitajika sana kumfanya asitoke. Kuwa mzalendo, mpigie kura mtanzania mwenzako.
Matukio yote ya big brother yanaruka hewani mtandaoni kupitia www. bigbrotherafricans.com
Usikubali kupitwa na tukio lolote << Ingia hapa>>
Ingia hapo juu kwa habari zaidi za big brother