Archive Pages Design$type=blogging

HIZI NDIO CHANGAMOTO ANAZOKUMBANA NAZO BINTI HUYU MWENYE SURA NA MAUMBILE KAMA YA KIUME

  Queen ni mtoto wa 4 kati ya familia ya watoto 5. Ni msichana mzuri na mrembo kimtazamo, lakini tatizo kubwa linalomkabili m...

 
Queen ni mtoto wa 4 kati ya familia ya watoto 5. Ni msichana mzuri na mrembo kimtazamo, lakini tatizo kubwa linalomkabili maishani mwake ni nywele ambazo zimekuwa zikimfanya aonekane kama mwanaume, Akiongea kwa njia ya mtandao, Queen amesimulia kuhusu changamoto anazokumbana nazo kutokana na tatizo hilo.
“Nimerithi hizi nywele toka kwa mama yangu na zilinianza nikiwa na miaka 21. Kadri miaka ilivyozidi kusonga mbele, tatizo hili lilizidi kusambaa mwili mzima.
“Mwanzo nilikuwa najisikia vibaya sana maana watu walikuwa wakiniona ni kiumbe wa ajabu, lakini baadae nilizoea na ikanilazimu nikubaliane na ukweli….
Akiongelea kuhusu changamoto za kimahusiano anazozipata ,Queen alikuwa na haya ya kusema:
“Sijabahatika kuwa na mwanaume wa kudumu, wengu hunikimbia kutokana na hali hii” 

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: HIZI NDIO CHANGAMOTO ANAZOKUMBANA NAZO BINTI HUYU MWENYE SURA NA MAUMBILE KAMA YA KIUME
HIZI NDIO CHANGAMOTO ANAZOKUMBANA NAZO BINTI HUYU MWENYE SURA NA MAUMBILE KAMA YA KIUME
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXrfDxODNv4S8F7hG41-noY9xlO23qkpXM86ub8v0csRy8KPwBiq1ML6V2CMEUDs7lHM5RdEzlrqITBxEcL7BJOtA9DLXTdGVyqeGx_EdZl_5hQAYxB9BI_P9dAhlyg8DWj2TQ8pyfx-3t/s1600/150.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiXrfDxODNv4S8F7hG41-noY9xlO23qkpXM86ub8v0csRy8KPwBiq1ML6V2CMEUDs7lHM5RdEzlrqITBxEcL7BJOtA9DLXTdGVyqeGx_EdZl_5hQAYxB9BI_P9dAhlyg8DWj2TQ8pyfx-3t/s72-c/150.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/hizi-ndio-changamoto-anazokumbana-nazo.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/hizi-ndio-changamoto-anazokumbana-nazo.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago