post-feature-image
HomeBurudani

Kwanini Wanaume ndio wa kuanza mara kwa mara?

Utaratibu uliojengeka miongoni mwa wanawake ni kwamba siku zote mwanaume ndiye anayeanzisha “movie ya mambo yetu yale” na ndiye steerin...

AUNTY LULU AMPA SOMO JOHARI LA MAPENZI
KUNA MADHARA YA KUISHI PAMOJA KABLA YA KUOANA?-2
Wema Ni #Shidaa tupu - Tazama Picha alizotupia Instagram Du! Katisha.
Utaratibu uliojengeka miongoni mwa wanawake ni kwamba siku zote mwanaume ndiye anayeanzisha “movie ya mambo yetu yale” na ndiye steering kwa kila kitu. Yaani hata mwanamke awe na nye** kiasi gani hawezi kuomba mchezo, sembuse kuonyesha dalili, eti mpaka mwanaume mwenyewe amuombe! Hii haikubaliki hata kidogo.
Jamani, hata kuonyesha morali wa uhitaji hakuna? Ndiyo nini sasa? Mimi nikiona namna hii, huwa nauchuna mpaka zinapita siku 2 hadi 3, nikiona response ni ZERO, naenda zangu kugonga nje. Nikija nakata siku zingine 3, halafu baada ya hapo lawama zinaanza—kwamba kwanini sifanyi kazi yangu—na kutuhumiwa kwamba huenda kuna mahali nagonga. Ama kweli ukistaajabu ya Musa, utaona ya Firauni! Kila siku nianze mie tu? Unajua hili suala linaboa sana.

Wanawake mnapaswa kubadilika. Msitegemee wanaume ndio waanze tu. Hata nyie mnapaswa kuwa mstari wa mbele kudai haki yenu ya msingi. Haki sawa kwa wote, au vipi? Mkiendelea kukaa kimya na nye** zenu, mtagongewa nje mpaka kieleweke. Mmeona eeh?

Inapokuwa mwanaume ndiye anaanzisha ‘mchezo’ peke yake kila siku haileti picha nzuri. Hii huleta hisia mbaya kwa mume kiasi cha kujihisi kama vile anabaka. Ndiyo. Kumtaka mtu ambaye siku zote haonyeshi hisia za shughuli muifanyayo kunajenga picha mawazoni kwamba huenda mke hana hamu ya mambo hayo na kwamba huenda anajilazimisha tu na kuigilizia hisia za bandia ili kumridhisha mwenza wake. Fikiri tofauti utoe maoni
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Kwanini Wanaume ndio wa kuanza mara kwa mara?
Kwanini Wanaume ndio wa kuanza mara kwa mara?
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgu4CAacq2V4fO39jzXxkQcIQfHaHjNnO9IzIbFV0zM3TMd9fH8jCh5zk_T1BDcNbyNTq1hinjbMQkiAfnqvUHLPCsBmzVKpLCgLa3CyTGhuSYjNT7SBR_kyUMhBGiMBnPc2g_ZHebREQWi/s1600/wanaumez.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgu4CAacq2V4fO39jzXxkQcIQfHaHjNnO9IzIbFV0zM3TMd9fH8jCh5zk_T1BDcNbyNTq1hinjbMQkiAfnqvUHLPCsBmzVKpLCgLa3CyTGhuSYjNT7SBR_kyUMhBGiMBnPc2g_ZHebREQWi/s72-c/wanaumez.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/kwanini-wanaume-ndio-wa-kuanza-mara-kwa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/kwanini-wanaume-ndio-wa-kuanza-mara-kwa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago