KABAANG! Mume aliyejulikana kwa jina moja la Ngosha, mkazi wa Mabibo jijini Dar, amemfumania mdogo wake aitwaye J...
KABAANG!
Mume aliyejulikana kwa jina moja la Ngosha, mkazi wa Mabibo
jijini Dar, amemfumania mdogo wake aitwaye Jazira akiwa
chumbani na mkewe Jack wakiivunja amri ya sita ya Mwenyezi
Mungu
Picha tofauti juu zikionesha mke wa mtu na mgoni wake katika fumanizi liliotokea.
Tukio
hilo lilitokea Jumanne iliyopita saa 12 alfajiri ambapo
ilidaiwa kuwa Jack alikuwa chumbani na mwanaume huyo ambaye
ni mdogo wa mumewe wakipeana maraha. Imedaiwa kuwa, wawili
hao walikuwa wakimtegea Ngosha akitoka kwenda katika shughuli
zake, Jazira alikuwa akizama katika chumba cha kaka yake na
kufanya mchezo wa kikubwa kna kwamba na yeye alichangia