Aliyekuwa mtayarishaji vipindi na muongozaji filamu (Bongo movies) George Tyson, aliyefariki kwa ajali, ataagwa siku ya jumatano (Juni...

Aliyekuwa mtayarishaji vipindi na muongozaji filamu (Bongo movies) George Tyson, aliyefariki kwa ajali, ataagwa siku ya jumatano (Juni 4) katika viwanja vya Leaders Club, na baada ya hapo mwili wake utasafirishwa kwenda kwao Kisumu, Kenya, kwaajili ya mazishi.
Tupia R.I.P yako hapa, kama ishara ya kumuaga ndugu yetu mara ya mwisho!