Mrembo na staa wa filamu ...
Mrembo
na staa wa filamu nchini Irene Uwoya amesema kuwa hakuna
vazi asilolipenda kulivaa kama chupi a.k.a kufuli. Irene
amesema hayo alipokuwa akizungumza na magazine maarufu ya
burudani ya VIBE.
Alipoulizwa
na mwandishi wa jarida hilo kuwa ni nguo gani ni vigumu
kuikuta kwenye kabati lake, "Chupi – sipendi kabisa hilo
vazi" Alisema Irene uwoya. Hatari sana hii.