MKURUGENZI wa Extra Bongo, Ally Chocky amefiwa na mkewe. Mke wa ...
MKURUGENZI wa Extra Bongo, Ally Chocky amefiwa na mkewe.
Mke wa Ally Chocky ambaye anafahamika zaidi kwa jina la Mama Shuu amefariki usiku wa kuamkia leo.
Chocky (pichani juu) ameithibitishia kufariki kwa mkewe na kusema kuwa taratibu za mazishi zitatolewa baadae.
Hisia za Mwananchi na Tabasam Blog inampa pole nyingi Ally Chocky kwa msiba mkubwa uliomfika.