post-feature-image
HomeHabari

Hii Ndio Ndege iliyobeba wanajeshi wa Marekani iliyotua kwa dharura barabarani Uganda

Wakati ulimwengu ukiwa katika majonzi baada ya kuripotiwa kudunguliwa kwa ndege ya Malaysia, habari kutoka Uganda zinaeleza kuwa ndege i...

BABU SEYA NA PAPII KOCHA HAWAJAACHIWA HURU
BREAKING NEWS:- AJALI NYINGINE MBAYA YATOKEA TENA GAIRO, WATU WENGI WAMEFARIKI - PICHA
AJALI MUSOMA YADAIWA NI KAFARA!

Wakati ulimwengu ukiwa katika majonzi baada ya kuripotiwa kudunguliwa kwa ndege ya Malaysia, habari kutoka Uganda zinaeleza kuwa ndege iliyokuwa imebeba wanajeshi wa Marekani ililazimika kutua kwa dharura barabarani.

Msemaji wa jeshi la polisi la Uganda, Phillip Mukasa amesema ndege hiyo ndogo ilikuwa imebeba watu nane ikiwa ni pamoja na wafanyakazi wawili na ililazimika kutua kwa dharura katika mji wa Mityana, kilometa 67 kutoka Kampala.
Ameeleza kuwa ndege hiyo ilikuwa imekaribia Sudan Kusini lakini kutokana na kupungukiwa mafuta rubani aliamua kurudi Uganda katika uwanja wa ndege wa Entebbe.
Hakuna mtu aliyeumia katika tukio hilo na ndege hiyo haikupata uharibifu mkubwa.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Hii Ndio Ndege iliyobeba wanajeshi wa Marekani iliyotua kwa dharura barabarani Uganda
Hii Ndio Ndege iliyobeba wanajeshi wa Marekani iliyotua kwa dharura barabarani Uganda
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/07/ug.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/hii-ndio-ndege-iliyobeba-wanajeshi-wa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/hii-ndio-ndege-iliyobeba-wanajeshi-wa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago