post-feature-image
HomeBurudani

ALI KIBA AKANUSHA KUANDAA WATU WAMZOMEE DIAMOND KWENYE FIESTA

Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba akifanya yake katika Tamasha la Serengeti Fie...

Huu Ndio ujumbe wa Masanja Mkandamizaji @mkandamizaji kwenda kwa Cristiano Ronaldo @Cristiano - Lazima Ucheke Hapa
T.I KUFANYA MAKAMUZI FIESTA 2014 JIJINI DAR
Exclusive:- Madee alala lupango - Kisa Na Mkasa Hiki Hapa - Audio
Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba akifanya yake katika Tamasha la Serengeti Fiesta Leaders Club lilifanyika hivi karibuni.
Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba amekanusha uvumi unaodai kuwa huenda aliaandaa watu maalum wa kumzomea msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kwenye shoo ya Fiesta iliyofanyika October 18 katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'.
Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba ameuambia mtandao wa  Bongo5 jana kuwa hahusiki na vurugu za mashabiki kumzomea msanii mwenzake, Nasibu Abddul 'Diamond' kwenye Tamasha la Serengeti Fiesta lililofanyika wikiendi iliyopita katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar.
“Hamna ukweli wowote, naanzaje?,” amehoji. “Siwezi kufanya kitu kama hicho. Kikubwa ni kuwashukuru wana Dar es Salaam walivyonipokea, nimefurahi sana. Hii imenitia moyo na kunifanya niongeze bidii kuwaandalia vitu vizuri zaidi.”
Katika hatua nyingine, msanii huyo amesema mashabiki wa muziki wake wasishangae kuona video ya wimbo wa ‘Mwana’ wiki hii ama wiki ijayo. “Video ni muda wowote yaani, usishangae ukasikia video imetoka. Muda wowote video inatoka surprise, kwa hiyo waendelee kusubiri muda wowote.”
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: ALI KIBA AKANUSHA KUANDAA WATU WAMZOMEE DIAMOND KWENYE FIESTA
ALI KIBA AKANUSHA KUANDAA WATU WAMZOMEE DIAMOND KWENYE FIESTA
http://api.ning.com:80/files/7NC-PlJcbt9aOerPpN2BqsTyKKQXV8c68gqrw5cEsMrpeDUeqDi1danMIXVu3LyM4asVcygdEQlnj8yf54bSlzcmPDXImvBQ/IMG_8359.JPG?width=650
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhO78GUQ_ZnSlE6owLKiXnzrjs5oyDwDRaQDqlzTOwXKxRN3lXTJrnNIadI2MVHvQALLbodQdreoMcfBo3gcLLYA9gpISpTchS5mhZC42l9YQEh9cS-PUEMtftvrsSZkv7kw7vIymoH9T4/s72-c/Diamond-tuzo_full.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/ali-kiba-akanusha-kuandaa-watu-wamzomee.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/ali-kiba-akanusha-kuandaa-watu-wamzomee.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago