post-feature-image
HomeBurudani

WASANII WA SERENGETI FIESTA WATOA MSAADA KWA MAJERUHI WA AJALI MUSOMA

Msanii Shilole na mtangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu wakikabidhi misaada katika H...

Kusaga ajitosa kuwapatanisha Diamond na Ali Kiba
NYANDA” LIVE Performance “FMA AWARDS” NETHERLANDS - Video
Mirror wa Endless Fame kufanya yake ndani ya The Playlist ya Times FM Jumapili hii
Msanii Shilole na mtangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu wakikabidhi misaada katika Hospitali ya Mkoa wa Mara kwa ajili ya majeruhi wa ajali iliyotokea mjini  Musoma leo.
Nay wa Mitego akikabidhi moja ya misaada iliyotolewa na baadhi ya wasanii wa Serengeti Fiesta muda mfupi baada ya ajali.
Mkurugenzi wa Ufundi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba akizungumza mbele ya wanahabari (hawapo pichani) juu ya kuahirishwa kwa Tamasha la Serengeti Fiesta mjini Musoma leo.
Wasanii na crew ya Serengeti Fiesta wakati wakitoa misaada hiyo.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Mara akitoa ripoti ya marehemu na majeruhi wa ajai.
Baadhi ya majeruhi wa ajali ya leo Musoma wakipatiwa huduma ya kwanza baada ya ajali.
(PICHA NA MUSA MATEJA /GPL, MUSOMA)
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: WASANII WA SERENGETI FIESTA WATOA MSAADA KWA MAJERUHI WA AJALI MUSOMA
WASANII WA SERENGETI FIESTA WATOA MSAADA KWA MAJERUHI WA AJALI MUSOMA
http://api.ning.com:80/files/3u3td4YI5Ig-zucN5LYioOaOZRChI7vM*-mabJcsQU1nY3wmgsTLIFUccC*3SGsVXigLtGV-Ummnb5rhJON45kQEFp7x2a*T/MGANGAMKUUAKIPOKEAMSAADAWAWASANIIMUDAMFUPIBAADAYAKWENDAKUWAONAMAJERUHINAWATUWALIOPOTEZAMAISHANDANIYAHOSPITALIYAMUSOMA.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/wasanii-wa-serengeti-fiesta-watoa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/wasanii-wa-serengeti-fiesta-watoa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago