post-feature-image
HomeBurudani

Mirror wa Endless Fame kufanya yake ndani ya The Playlist ya Times FM Jumapili hii

Mwimbaji wa Bongo Flava anaefanya kazi chini ya kampuni ya Endless Fame ya Wema Sepetu, Mirror aka Kioo atakuwa katika kipindi cha The Pl...

SITTI MTEMVU ARUDI MAREKANI!
Wema Sepetu Akubali Matokeo ya Kuachana na Diamond..Soma Ujumbe Alioandika
SANGOMA AZIMIA AKITOA MAJINI!
Mwimbaji wa Bongo Flava anaefanya kazi chini ya kampuni ya Endless Fame ya Wema Sepetu, Mirror aka Kioo atakuwa katika kipindi cha The Playlist cha 100.5 Times FM Jumapili hii (June 1).

Mkali huyo wa ‘Baby’ ambaye hivi sasa ameachia pini jipya alilolibatiza jina la ‘Kolokolo’ atazicheza ngoma tano kali anazozipenda zaidi na kuzielezea, pia atajibu maswali ya kichokozi yaliyonyooshwa na rula ya Omary Tambwe aka Lil Ommy, mtangazaji wa kipindi hicho.
Pamoja na mengi atakayohusika nayo, Mirror atazungumzia uhusiano wake na marehemu Ngwair, kazi alizofanya nae na mipango waliyopanga na member huyo wa Chemba Squad. The Playlist ambayo siku zote inawapa nafasi wasikilizaji kuzifahamu ngoma tano kali wanazozipenda mastaa wanaowakubali, kinakuwa hewani kupitia 100.5 Times Fm kila Jumapili kuanzia saa kumi kamili jioni hadi saa kumi na moja kamili jioni.
Unaweza kuwasiliana au kufuatilia show ya The Playlist wiki hii kupitia mitandao ya kijamii @timesfmtz @lilommy @mirror26
@petitman_wakuache

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Mirror wa Endless Fame kufanya yake ndani ya The Playlist ya Times FM Jumapili hii
Mirror wa Endless Fame kufanya yake ndani ya The Playlist ya Times FM Jumapili hii
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/05/MIRROR-THE-PLAYLIST.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/mirror-wa-endless-fame-kufanya-yake.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/mirror-wa-endless-fame-kufanya-yake.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago