post-feature-image
HomeBurudani

WACHUNGAJI MBARONI KWA ULAWITI WA WATOTO KANISANI

WATOTO sita , wakiwemo wawili wa kiume wenye umri wa miaka 8 hadi 14 wameharibiwa vibaya sehemu zao za siri baada ya kubakwa kanisani na...

Diamond Platnumz, Amzawadia Gari Wema Sepetu KAma zawadi ya Birthday Yake, Na huu Ndio Ujumbe Aliouandika Facebook kwenda kwa wema
Si rahisi kwa mwanaume kugundua haya kwa mpenzi wake.
Exclusive:- MH.SUGU NA MKEWE FAIZA WAACHANA LIVE...MKEWE ALIA SANA KWA UCHUNGU...AANDIKA UJUMBE MZITO
WATOTO sita, wakiwemo wawili wa kiume wenye umri wa miaka 8 hadi 14 wameharibiwa vibaya sehemu zao za siri baada ya kubakwa kanisani na watu wanaodaiwa ni wachungaji.
Watoto sita waliobakwa kanisani na watu wanaodaiwa ni wachungaji.
Wakiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha, Mount Meru walikopelekwa kwa matibabu na kuangaliwa maambukizi ya magonjwa ya zinaa, watoto hao walidai kufanyiwa mchezo huo kwa nyakati tofauti  na wachungaji watatu wa kanisa hilo lililopo eneo la  Feed Force, Kwamorombo jijini Arusha.
 

Mmoja wa watoto hao anayesoma darasa la 4 katika shule ya msingi alieleza kuwa yeye na wenzake wamekuwa wakifanyiwa mchezo mchafu katika kanisa hilo baada ya wachungaji hao kuwapatia shilingi 2,000 za kufungia mdomo.
“Siku moja nilipofika shuleni wenzangu wakaniambia niende pale kanisani tukapewe hela, nilipofika niliwaona wenzangu wengine wakifanyiwa mchezo mchafu na mimi mchungaji aliniambia niiname akanifanyia kitendo kibaya na kunipa shilingi 2,000, niliumia sana,’’ alisema mwanafunzi mmoja.
Mwanafunzi mwingine alisema amekuwa akitoroka shuleni na wenzake na kwenda kwa watumishi hao ambapo huwaingiza katika kanisa hilo na kujifanya wanawaombea baadaye huwafanyia mchezo mbaya.
 
Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema, Godbless Lema.
“Tukifika huwa wanatufungia ndani na kutuambia tuwanyonye, baadaye wanatubaka  na wakimaliza wanatuambia tukisema kwa mtu yeyote watatuchinja na kutuzika ndani ya kanisa lao,” alisema denti huyo.
Wanafunzi hao walieleza kuwa watumishi hao huwarubuni kwa kuwaeleza kuwa watawasaidia kuwasomesha iwapo watakuwa wakienda kwenye kanisa hilo na kuwaingilia.
Mzazi mmoja wa watoto hao, Julius, mkazi wa Kwamorombo alisema mtoto wake alimweleza kwamba amekuwa akifanyiwa mchezo mbaya na watumishi hao baada ya kupewa shilingi 2,000.
Alisema aligundua hilo kufuatia tabia ya mtoto wake kuchelewa kurudi nyumbani.
Naye Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chadema, Godbless Lema ambaye alifika hospitalini kuwajulia hali watoto hao alisikitishwa na kitendo hicho na kulitaka jeshi la polisi lifanye uchunguzi wa kina kwa kushirikiana na vipimo vya kidaktari ili kupata ukweli wa tukio hilo.
“Nimeongea na mkuu wa mkoa, Magesa Mulongo ambaye ameahidi kulifuatilia kwa kina suala hili na kujua undani wake,’’ alisema Lema.
 
Kamanda wa Polisi Arusha, Leberatus Sabas.
Hata hivyo, watoto hao baadaye walihamishiwa katika Hospitali ya Seliani kwa ajili ya vipimo zaidi huku taarifa za awali zikithibitishwa na daktari wa hospitali hiyo kuwa, baadhi yao walikutwa na michubuko na kupanuka sehemu za siri hali inayooneshwa kuingiliwa.
Watuhumiwa wa tukio hilo wanashikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini hapa  kwa uchunguzi zaidi na Kamanda wa Polisi Arusha, Leberatus Sabas amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.
CREDIT:GPL
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: WACHUNGAJI MBARONI KWA ULAWITI WA WATOTO KANISANI
WACHUNGAJI MBARONI KWA ULAWITI WA WATOTO KANISANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgbInB_nc_FG6XErj7xKAqdeWEqozsGi4Mk1T0yh18rp6FHYnac_Xw4B5lTpR6-0-qrm_3QZuuceq9hKxcxr4oomkDLT9sxMsj6TOJzf1yJhkNqjpXmFE4qvYCtn21gyQVJEMpYgrh8HWc/s1600/watoto100.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgbInB_nc_FG6XErj7xKAqdeWEqozsGi4Mk1T0yh18rp6FHYnac_Xw4B5lTpR6-0-qrm_3QZuuceq9hKxcxr4oomkDLT9sxMsj6TOJzf1yJhkNqjpXmFE4qvYCtn21gyQVJEMpYgrh8HWc/s72-c/watoto100.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/wachungaji-mbaroni-kwa-ulawiti-wa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/wachungaji-mbaroni-kwa-ulawiti-wa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago