Wakazi wa eneo la Rosters jijini Nairobi,...
Wakazi wa eneo la Rosters jijini Nairobi, Kenya walishuhudia
kioja si haba wakati mchungaji wa kanisa moja liliko mtaani pumwani
alipofumaniwa na mke wa wenyewe kwenye tendo la ndoa. Hata hivyo,
mchungaji huyo alijitetea kuwa alikuwa kwenye pilkapilka za kutoa
huduma. Jionee.