post-feature-image
HomeMajuuTrack (Audio & Video)

Picha: AY aanza kushoot video 2 Marekani ikiwemo ya collabo yake na Sean Kingston

AY yuko nchini Marekani ambako ameenda kushoot video mbili kama alivyoahidi hivi karibuni wakati anaachia...

AY yuko nchini Marekani ambako ameenda kushoot video mbili kama alivyoahidi hivi karibuni wakati anaachia wimbo wake mpya ‘It’s Going Down’ aliowashirikisha Ms Triniti na Lamyia.


Mzee wa Commercial ameshare picha Instagram akiwa location na msanii Mjamaica-Mmarekani Sean Kingston na kuandika:
“Bongo Flava we’ve arrived to Hollywood Hills…I’ll tell u later what m doin here with @seankingston #TANZANIA #Jamaica “.
AY na producer Riley
Katika picha nyingine ameandika,“On set with de illest @producerriley #HollywoodHills”
AY pia alirepost post ya Producer Riley ambaye aliweka picha ya location yenye hashtag za Sean Kingston na Ms Triniti:
“Tanzanians best AY and I shooting a video for the next single. Looking for our second #1 video in Africa !! #africa #ay #tanzania #seankingston #mstriniti”
riley
Siku chache zilizopita AY alisema kuwa November anatarajia kuachia collabo yake na Sean Kingston iliyokaa muda mrefu bila kutoka. Katika Interview nyingine aliyofanya na kituo cha Times Fm hivi karibuni, AY alisema kuwa amepanga kuachia video mbili kwa mpigo mwezi ujao.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Picha: AY aanza kushoot video 2 Marekani ikiwemo ya collabo yake na Sean Kingston
Picha: AY aanza kushoot video 2 Marekani ikiwemo ya collabo yake na Sean Kingston
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiim_3kp3-3vY4Kor9uur8V41KhyXtRKU_7zg_a9nY11IrgnjYbOL9GZSi1eJdD1z7_q9uS-VIxgxBI7szil3QQ6AMvcCIrIjDOx401nAd9afRyxVfin0hwhmBI6vyj1r3Gqg8hEFi5ZTwB/s1600/AY-US2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiim_3kp3-3vY4Kor9uur8V41KhyXtRKU_7zg_a9nY11IrgnjYbOL9GZSi1eJdD1z7_q9uS-VIxgxBI7szil3QQ6AMvcCIrIjDOx401nAd9afRyxVfin0hwhmBI6vyj1r3Gqg8hEFi5ZTwB/s72-c/AY-US2.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/picha-ay-aanza-kushoot-video-2-marekani.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/picha-ay-aanza-kushoot-video-2-marekani.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago