post-feature-image
HomeMajuuTrack (Audio & Video)

Pastor aliyewalisha majani waumini wake, sasa awanywesha petroli - Angalia Video

Mchungaji wa Afrika Kusini aliyewahi kuwa...

New Track/Video: P-Square waachia rasmi nyimbo 3 kwa mpigo, na video waliyomshirikisha T.I wa Marekani
Nicki Minaj na Drake wazidisha ukaribu baada ya video ya Anaconda, Kila kitu kipo hapa(Video)
Nay Wa Mitego - Mr Nay (Official Video)


Mchungaji wa Afrika Kusini aliyewahi kuwalisha waumini wake majani, sasa anawanywesha petrol.
Pastor Lesego Daniel wa Rabboni Centre Ministries aliwahi kuandikwa sana na vyombo vya habari duniani kwa kuwaagiza wafuasi wake kula majani kama wanyama kwa madai kuwa binadamu wanaweza kula chochote kilichotoka kwa Mungu.
Kitendo hicho kiliwaacha waumini wengi wakitapika na kuharisha. Na sasa anawataka waumini wake kunywa petroli kwa madai kuwa itageuka kuwa juice ya nanasi.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Pastor aliyewalisha majani waumini wake, sasa awanywesha petroli - Angalia Video
Pastor aliyewalisha majani waumini wake, sasa awanywesha petroli - Angalia Video
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/09/Petrol.jpg
https://i.ytimg.com/vi/F2XkzZvbJCg/default.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/pastor-aliyewalisha-majani-waumini-wake.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/pastor-aliyewalisha-majani-waumini-wake.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago