post-feature-image
HomeBurudani

Nipo tayari Kupungua Tumbo Langu Lakini sio Makalio - Hivi Ndivyo Msanii wa Bongo Movies Huyu Hapa Alivyofunguka

Msanii wa Bongo Movies Bupe Ameongea Kuhusu umbo lake la Utata Mwingi hasa upande wa Nyuma. “Makalio yangu Siyo Mchina, nimayarithi kw...

FILAMU YA JOTI SANDUKU LA BABU YAINGIA SOKONI.
HUYU NDIO MREMBO ALIYECHANWA NA VIWEMBE KWA WIVU
HIVI NDIVYO MASTAA WA BONGO WALIVYOONESHANA JEURI YA FEDHA
Msanii wa Bongo Movies Bupe Ameongea Kuhusu umbo lake la Utata Mwingi hasa upande wa Nyuma.

“Makalio yangu Siyo Mchina, nimayarithi kwa mama yangu mzazi, ni mnene kama nilivyo mimi.”

USUMBUFU ANAOKUTANA NAO
“Si unajua wanaume wengi wanavyodata wanapoona wanawake waliojazia, usumbufu wao kwangu ni mkubwa sana kwa kweli.”

ANAJIKUBALI
“Mimi natamani kupungua tumbo tu lakini siyo makalio kwa sababu haya ndiyo yanawavutia watu, nikipungua nitakosa mvuto.”

“Huwa napenda kuvaa nguo fupi kama sketi na gauni kwa sababu mguu wangu ni wa bia halafu ni mzuri na unavutia.”

SAIZI YA NGUO ZA NDANI
“Kwa kweli saizi ninayovaa sijui na ni mara chache sana navaa kutokana na umbile langu na hali ya joto la Dar.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Nipo tayari Kupungua Tumbo Langu Lakini sio Makalio - Hivi Ndivyo Msanii wa Bongo Movies Huyu Hapa Alivyofunguka
Nipo tayari Kupungua Tumbo Langu Lakini sio Makalio - Hivi Ndivyo Msanii wa Bongo Movies Huyu Hapa Alivyofunguka
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh1mMwMb-AyXWLwEQeGdAylLvsbVsXeQuhgkydhZ5S8MjWKUuas_d1VEv0dS0MV9BOWXXfHCUc78Hk2uTcF6LI8Li6UytzaWC3DzjSgDrRwEXs-kMDjeuFZVIIoKgorrTa-z5eX3f9fkYqi/s640/HAPPYINYE+(1).jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh1mMwMb-AyXWLwEQeGdAylLvsbVsXeQuhgkydhZ5S8MjWKUuas_d1VEv0dS0MV9BOWXXfHCUc78Hk2uTcF6LI8Li6UytzaWC3DzjSgDrRwEXs-kMDjeuFZVIIoKgorrTa-z5eX3f9fkYqi/s72-c/HAPPYINYE+(1).jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/nipo-tayari-kupungua-tumbo-langu-lakini.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/nipo-tayari-kupungua-tumbo-langu-lakini.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago