post-feature-image
HomeBurudani

FILAMU YA JOTI SANDUKU LA BABU YAINGIA SOKONI.

MSANII    Lucas Mhavile ‘Joti’baada ya kukaa kimya kwa mda sasa ameibuka na filamu yake ya Joti Sanduku la Babu ambayo ame...

Sina mpango wa kutoa album wala kushoot video nje ya nchi - Juma Nature
Wasanii waosha magari kusaidia waathirika wa ajali za magari Muhimbili
JACKLINE WOLPER : I Feel so Good to Chat With Him When Am Like This..


MSANII  Lucas Mhavile ‘Joti’baada ya kukaa kimya kwa mda sasa ameibuka na filamu yake ya Joti Sanduku la Babu ambayo amecheza katika husika tofauti tofauti filamu hiyo itakuwa ikisambazwa na   Kampuni ya proin promotions ya jinini Dar es salaam.
Akizungumzia filamu hiyo Joti alisema kuwa amekuja kivingini kwani kitu alichofanya katika filamu hiyo aijawai kutokea wala kufanywa na mtu yoyote yule katika tasinia hii ya filamu nchini.
 Hivyo wapenzi wangu wanunue filamu kwa ajili ya kuniunga mkono kwani kwa sasa imeshaingia sokoni na filamu hii si yakukosa mana unambiwa uzee mwisho chalinze mjini kila mtu honey.
Hivyo wapenzi wa filamu nawaomba wanunue nakala alisi ya filamu hiyo pindi itakapotoka ambapo nimelezea mambo mbalimbali ya ujana usichana pamoja na uzee.
 Mbali na hivyo filamu hiyo imebeba mambo matatu muhimu kwanza ina burudisha pia ina elimisha na kupata ujumbe muhimu kabisa katika jamii inayotuzunguka.'

Filamu hiyo ya kwanza tangu joti aweke kando mambo ya filamu na kujingiza katika mambo ya uchekeshaji kupitia luninga sasa ameludi tena katika filamu.
yake mwenyewe inayokwenda kwa jina la joti sanduku la babu.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: FILAMU YA JOTI SANDUKU LA BABU YAINGIA SOKONI.
FILAMU YA JOTI SANDUKU LA BABU YAINGIA SOKONI.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPJfAZSc3tPQ9BWV_2LKelgCm2s-fAIy2BEMSVWMt465Oda-n3JR9kp9koIuhmgElJtreXEXwwn6AC41bAHGcxP-KgOgSWWrC4AGAuFryfGV8DZlT9HN6dX21T2rXz6b4je3K9iWiXDvXH/s1600/joti.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiPJfAZSc3tPQ9BWV_2LKelgCm2s-fAIy2BEMSVWMt465Oda-n3JR9kp9koIuhmgElJtreXEXwwn6AC41bAHGcxP-KgOgSWWrC4AGAuFryfGV8DZlT9HN6dX21T2rXz6b4je3K9iWiXDvXH/s72-c/joti.JPG
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/filamu-ya-joti-sanduku-la-babu-yaingia.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/filamu-ya-joti-sanduku-la-babu-yaingia.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago