post-feature-image
HomeBurudani

MSIBA WAZIMA MBWEMBWE ZA AUNT MAREKANI

Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amelazimika kusitisha bata alizokuwa akila nchini Marekani baada ya kupata msiba wa mdogo ...

Kwa Waliotangulia Kuliona Jua tu: JE UNATATIZO LA KUMALIZA KABLA YA KUMKUNA KISAWA SAWA MPENZI
Irene Uwoya kuja na ‘Kisoda’, akanusha kuwa na uhusiano na Msami
Picha: Fid Q na Young Killer waingia mtaani kushoot video ya ‘13’ muongozaji ni..

Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amelazimika kusitisha bata alizokuwa akila nchini Marekani baada ya kupata msiba wa mdogo wake aliyefariki dunia juzikati.
Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel akiwa mamtoni.
Chanzo chetu makini kilieleza kuwa, Aunt alipata taarifa za mdogo wake huyo (si wa damu) aliyekuwa akiishi naye aitwaye Ziada kufariki dunia akiwa mamtoni hivyo ikamlazimu kurudi Bongo ili kushiriki kwenye mazishi.

Ijumaa lilipata bahati ya kuwasiliana na Aunt ambaye alisema ameshitushwa na taarifa hizo na alikuwa njiani kurejea Dar.“Nimeumia sana, Ziada alikuwa ni mdogo wangu tuliyependana sana lakini Mungu kamuita, hakuna jinsi,” alisema Aunt kwa masikitiko.
CREDIT: IJUMAA
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MSIBA WAZIMA MBWEMBWE ZA AUNT MAREKANI
MSIBA WAZIMA MBWEMBWE ZA AUNT MAREKANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizfLndRubSI6g_q62yf3nOaUXBAnwgUQFiQPOxGKvS64pOtAVnn3qBbGEpz8T6COZ99DbpF5z36BK43Kw0zRh6UOndsr-HOWGrjYi1rH1gu_T7wok7XPLB-Gf9JQXXEYNsPrTV_gj50xg/s1600/aunty.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEizfLndRubSI6g_q62yf3nOaUXBAnwgUQFiQPOxGKvS64pOtAVnn3qBbGEpz8T6COZ99DbpF5z36BK43Kw0zRh6UOndsr-HOWGrjYi1rH1gu_T7wok7XPLB-Gf9JQXXEYNsPrTV_gj50xg/s72-c/aunty.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/msiba-wazima-mbwembwe-za-aunt-marekani.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/msiba-wazima-mbwembwe-za-aunt-marekani.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago