Wakati video ya ‘Umebadilika’ ikiwa njia kutoka, Young anaandaa silaha nyingine tena aliyomshirikisha kaka yake kimuziki, Fareed Kubanda ...
Wakati video ya ‘Umebadilika’ ikiwa njia kutoka, Young anaandaa
silaha nyingine tena aliyomshirikisha kaka yake kimuziki, Fareed Kubanda
aka Fid Q. Japo wawili hao hawajasema chochote kuhusiana na video hiyo,
inaonekana kuwa inaongozwa na Nisher. Balaa linakuja!!
Wakandarasi
