Mmiliki wa mtandao wa ngono wa Vivid, Steve Hirsh amesema mkanda wa ngono wa rapper Iggy Azalea unaweza ukauza ...
Mmiliki wa mtandao wa ngono wa Vivid, Steve Hirsh amesema mkanda
wa ngono wa rapper Iggy Azalea unaweza ukauza kuliko ule wa Kim
Kardashian na Ray J.
Rapper wa Houston, Jefe Wine ndiye anayedaiwa kurekodi mkanda huo
akifanya mapenzi na Iggy. Wine anadai kuwa Iggy alikuwa akijua kuwa
wanarekodi mkanda huo licha ya yeye kudai hakuwa na taarifa.
Hirsh, amesema ameshakutana na Wine kufanya makubaliano ya kuununua.
Wanasheria wa Iggy Azalea wamesema wamejiandaa kuchukua hatua za
kisheria kutokana na mkanda huo.
Kama ni kweli Iggy yupo kwenye tape hiyo haiwezi kutolewa kihalali bila ridhaa yake.