Archive Pages Design$type=blogging

Hiki Ndicho Kinachomuweka Linah Mjini Bila Kuwa Na Nyimbo Mpya Na Shows

Ndege Mnana, Linah ambaye kwa muda mrefu amekuwa kimya bila kuachia wimbo mpya kabla ya kuachia remix ya wimbo wa Kizaizai wa Diamo...

Ndege Mnana, Linah ambaye kwa muda mrefu amekuwa kimya bila kuachia wimbo mpya kabla ya kuachia remix ya wimbo wa Kizaizai wa Diamond ameeleza sababu zinazomfanya aendelee kuishi maisha mazuri hata anapokuwa hana wimbo mpya redioni kiasi cha kupunguza mfululizo wa shows.
Linaaah 
Linah amefunguka katika Power Jams ya East Africa Radio leo kuwa sababu kubwa inayomfanya aendelee kung’aa mjini hata bila shows wala kuwa na nyimbo mpya ni kujipanga mapema kuikabili hali yoyote itakayojitokeza kwenye maisha yake kama mwanamuziki.
“Labda niseme kitu kimoja, unajua unapokuwa msanii unatakiwa ujipange vya kutosha. Anything can happen. Kwa hiyo unapofanya kazi at the time unapokuwa vizuri inabidi ujipange kwa maisha ya mbele pia. Kama mimi nilikuwa nimejipanga enough kwamba in case ikitokea kitu chochote mimi niko sawa. Yaani sitatetereka.”
LINAH SANGA 
Amesema anajua msanii anapotetereka anamuangusha shabiki wake anapotaka kujigamba kwa wenzake jinsi anavyomkubali msanii huyo.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Hiki Ndicho Kinachomuweka Linah Mjini Bila Kuwa Na Nyimbo Mpya Na Shows
Hiki Ndicho Kinachomuweka Linah Mjini Bila Kuwa Na Nyimbo Mpya Na Shows
http://i1.wp.com/sammisago.com/wp-content/uploads/2014/07/Linaaah.jpg?resize=618%2C283
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/hiki-ndicho-kinachomuweka-linah-mjini.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/hiki-ndicho-kinachomuweka-linah-mjini.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago