post-feature-image
HomeBurudaniMajuu

Diamond atajwa kuwania ‘All Africa Music Awards’ AFRIMA 2014

Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za ‘All Africa Music Awards’ AFRIMA 2014. Majina hayo ya wasanii watakaowania tuzo hizo m...

Hakuna beef: Iggy Azalea ampongeza Nicki Minaj backstage MTV-VMA (video)
HILI NDIO VAZI LA MSANII LADY GAGA LILILO NA SHEPU YA UUME- PICHA
Dancer wa Nicki Minaj ang'atwa na nyoka aina ya anaconda wakati wa mazoezi ya kucheza wimbo wa 'Anaconda'
Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za ‘All Africa Music Awards’ AFRIMA 2014.
Majina hayo ya wasanii watakaowania tuzo hizo mwaka huu yalitangazwa Jumanne hii, September 23, 2014 Protea Hotel Leadway, Maryland Estate, Lagos, Nigeria.
Diamond ametajwa kwenye vipengele viwili, Mafikizolo, 6, Davido, 6 AmrDiab (Egypt) 2, Zahara (South Africa) 3, Angelique Kidjo (Benin Republic) 2, FallyIpupa (DRC) 1 , Sakordie (Ghana) 1, Tiwa Savage, 2, Uhuru (South Africa) 5, Mi Casa (South Africa) 4.
Upigaji kura unatarajiwa kuanza Jumanne, Sept. 30 ambao utachukua wiki tano. Tuzo hizo zitatolewa November 9, 2014.
Tofauti na tuzo zingine, wasanii wanatakiwa kuwasilisha kazi zao kwa jopo la AFRIMA ambapo kazi hiyo ilianza May 15 na kufungwa July 21. Jumla ya kazi 2,025 zilipokelewa kwa uchambuzi.
Jopo la majaji wa AFRIMA ambalo linaundwa na wadau wa muziki barani Afrika, walikuwa jijini Lagos, kuanzia July 31 hadi Aug. 6 kuchambuzi kazi hizo.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Diamond atajwa kuwania ‘All Africa Music Awards’ AFRIMA 2014
Diamond atajwa kuwania ‘All Africa Music Awards’ AFRIMA 2014
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/08/wpid-wema-akiwa-pembeni-kumsupport-diamond1.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/diamond-atajwa-kuwania-all-africa-music.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/diamond-atajwa-kuwania-all-africa-music.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago