Mrembo huyo akiwa kwenye gari. MREMBO mmoja ambaye hakuweza kufahamika jina lake...
Mrembo huyo akiwa kwenye gari.
MREMBO mmoja
ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, amejikuta katika wakati
mgumu baada ya kuvuliwa nguo kisha kupigwa na madereva bodaboda.
Tukio hilo lililovuta umati wa watu lilitokea juzikati maeneo ya
Sinza Makaburini, jijini Dar wakati mrembo huyo akiwa na mpenzi wake
ikidaiwa kuwa walitokea katika nyumba ya kulala wageni.
Imeelezwa
kuwa, mpenzi wa mrembo huyo aliyekuwa akiendesha gari, alimgonga dereva
bodaboda ndipo madereva bodaboda walipoungana na kumfanyia fujo jamaa
pamoja na mrembo wake.Maneno yaliyowekwa katika picha si halisi bali ni
kama wanasema, yamepachikwa kiburudani zaidi.