Rappers wa Young Money, Drake na Nicki Minaj wanadaiwa kuwa na ukaribu zaidi hasa baada ya kuonekana pamoja kwenye video...
Rappers wa Young Money, Drake na Nicki Minaj wanadaiwa kuwa na
ukaribu zaidi hasa baada ya kuonekana pamoja kwenye video ya Nicki Minaj
‘Anaconda’.
Katika video hiyo, Nicki Minaj alionekana kumfanyia vimbwanga vya kimahaba Drake ikiwa ni sehemu ya kuinogesha video hiyo tata.
Drake na Nicki Minaj walichukuliwa kipande cha video wakifanya
manunuzi pamoja katika supermarket moja huko Los Angeles huku wakitumia
lugha za utani kama wapenzi hivi.
Angalia video: