Jacob Stephan na Wastara Juma wameingia mzigoni kushoot filamu mpya iitwayo ‘Mzee wa Swaga’ ambapo ndani ya filamu hiyo Wastara ni mpenz...
Jacob Stephan na Wastara Juma wameingia mzigoni kushoot filamu
mpya iitwayo ‘Mzee wa Swaga’ ambapo ndani ya filamu hiyo Wastara ni
mpenzi wa JB.
Wastara akiwa na JB katika filamu mpya ya Mzee wa Swaga
Wastara amesema kuwa filamu hiyo iliyo chini ya kampuni ya Jerusalem film itahusisha mastaa mbalimbali katika tasnia hiyo. “Tupo location tunashoot filamu mpya ya kampuni ya Jerusalem film, wasani wengi wameigiza lakini mimi nimeigiza kama mpenzi wa JB ndiyo maana umena picha tukiwa mazingira fulani,” alisema Wastara. Hizi ni baadhi ya picha.