Nay wa Mitego msanii wa bongofleva amethibitisha kwamba Mama yake mzazi amemuita na kutaka kujua kilichoonekana kwenye video yake ...
Nay
wa Mitego msanii wa bongofleva amethibitisha kwamba Mama yake mzazi amemuita na kutaka kujua kilichoonekana kwenye video yake mpya ya ‘Mr. Nay’ aliyoifanya Kenya kinamaanisha nini.

Nay ambae kabla ya kufanikiwa kimuziki aliwahi kuwa kinyozi wakati bado akisoma sekondari, amesema, mama yake mzazi amemuita nyumbani September 2 2014 kutaka kujua kinachoendelea sababu alichoona na anachoambiwa na watu kimemfanya apate wasiwasi mkubwa.

Nay anasema
‘mimi nafanya kitu kutokana na idea ambazo huwa zinatoka kichwani
mwangu, nafikiri watu wameona ni video kubwa nzuri na kali…. sijawahi
kufanya video kali kama hii ambayo kidogo inataka kuniletea shida ila
sio kitu kibaya kwangu’
Credit:- millardayo.com