Paki gari, weka wimbo wa Di...
Paki gari, weka wimbo wa Diamond ‘Kizaizai’, mpe camera rafiki
yako arekodi, anza kukata viuno!!! Hicho ndicho kilichofanyika kwenye
video hii inayokwenda kuishuhudia. Ni sheedah ( kwa sauti ya Madee).
Hutaona sura yake lakini utaenjoy.